2 Samueli 3:11 - Swahili Revised Union Version11 Wala hakuweza kumjibu Abneri tena, kwa sababu alimwogopa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Ishboshethi hakuweza kusema neno, kwa kuwa alikuwa anamwogopa Abneri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Ishboshethi hakuweza kusema neno, kwa kuwa alikuwa anamwogopa Abneri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Ishboshethi hakuweza kusema neno, kwa kuwa alikuwa anamwogopa Abneri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Ish-Boshethi hakuthubutu kusema neno jingine kwa Abneri, kwa sababu alimwogopa Abneri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Ish-Boshethi hakuthubutu kusema neno jingine kwa Abneri, kwa sababu alimwogopa Abneri. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Wala hakuweza kumjibu Abneri tena, kwa sababu alimwogopa. Tazama sura |