2 Samueli 24:8 - Swahili Revised Union Version8 Nao walipokwisha kuzunguka nchi yote, wakaja Yerusalemu baada ya miezi tisa na siku ishirini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Walipokwisha pitia katika nchi yote, walirejea Yerusalemu baada ya miezi tisa na siku ishirini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Walipokwisha pitia katika nchi yote, walirejea Yerusalemu baada ya miezi tisa na siku ishirini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Walipokwisha pitia katika nchi yote, walirejea Yerusalemu baada ya miezi tisa na siku ishirini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Baada ya kupita katika nchi nzima, walirudi Yerusalemu baada ya miezi tisa na siku ishirini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Baada ya kupita katika nchi nzima, walirudi Yerusalemu baada ya miezi tisa na siku ishirini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Nao walipokwisha kuzunguka nchi yote, wakaja Yerusalemu baada ya miezi tisa na siku ishirini. Tazama sura |