2 Samueli 2:5 - Swahili Revised Union Version5 Basi Daudi akatuma wajumbe kwa watu wa Yabesh-gileadi, na kuwaambia, Na mbarikiwe ninyi na BWANA, kwa kuwa mmemtendea bwana wenu fadhili hii, yaani Sauli, mkamzika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 aliwatuma watu huko Yabesh-gileadi na ujumbe: “Mwenyezi-Mungu na awabariki kwa maana mlionesha utii wenu kwa Shauli, bwana wenu, kwa kumzika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 aliwatuma watu huko Yabesh-gileadi na ujumbe: “Mwenyezi-Mungu na awabariki kwa maana mlionesha utii wenu kwa Shauli, bwana wenu, kwa kumzika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 aliwatuma watu huko Yabesh-gileadi na ujumbe: “Mwenyezi-Mungu na awabariki kwa maana mlionesha utii wenu kwa Shauli, bwana wenu, kwa kumzika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 akatuma wajumbe kwa wanaume wa Yabesh-Gileadi, kuwaambia, “Mwenyezi Mungu awabariki kwa kuonesha wema huu kwa kumzika Sauli bwana wenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 akatuma wajumbe kwa watu wa Yabeshi-Gileadi kuwaambia, “bwana awabariki kwa kuonyesha wema huu kwa kumzika Sauli bwana wenu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Basi Daudi akatuma wajumbe kwa watu wa Yabesh-gileadi, na kuwaambia, Na mbarikiwe ninyi na BWANA, kwa kuwa mmemtendea bwana wenu fadhili hii, yaani Sauli, mkamzika. Tazama sura |