Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

2 Samueli 2:30 - Swahili Revised Union Version

30 Akarudi Yoabu naye kutoka kumfuatia Abneri; na alipokwisha kuwakusanya watu wote pamoja, wa hao watumishi wa Daudi walipungukiwa na watu kumi na tisa pamoja na Asaheli.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Yoabu aliporudi kutoka kumfuatia Abneri, aliwakusanya watu wake wote, akagundua kuwa watumishi kumi na tisa wa Daudi walikosekana, licha ya Asaheli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Yoabu aliporudi kutoka kumfuatia Abneri, aliwakusanya watu wake wote, akagundua kuwa watumishi kumi na tisa wa Daudi walikosekana, licha ya Asaheli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Yoabu aliporudi kutoka kumfuatia Abneri, aliwakusanya watu wake wote, akagundua kuwa watumishi kumi na tisa wa Daudi walikosekana, licha ya Asaheli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Basi Yoabu akarudi kutoka kumfuatia Abneri, na kuwakusanya watu wake wote. Pamoja na Asaheli, watumishi kumi na tisa wa Daudi walikuwa wamepotea.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Basi Yoabu akarudi kutoka kumfuatia Abneri, na kuwakusanya watu wake wote. Pamoja na Asaheli, watu kumi na tisa wa Daudi walikuwa wamepotea.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

30 Akarudi Yoabu naye kutoka kumfuatia Abneri; na alipokwisha kuwakusanya watu wote pamoja, wa hao watumishi wa Daudi walipungukiwa na watu kumi na tisa pamoja na Asaheli.

Tazama sura Nakili

2 Samueli 2:30
2 Marejeleo ya Msalaba  

Wakaenda Abneri na watu wake usiku ule wote kati ya ile Araba; wakavuka Yordani, wakapita kati ya Bithroni yote, wakaja Mahanaimu.

Ila watumishi wa Daudi walikuwa wamewapiga watu wa Benyamini, na watu wa Abneri, hata wakafa watu mia tatu na sitini.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo