2 Samueli 2:28 - Swahili Revised Union Version28 Basi Yoabu akapiga tarumbeta, na watu wote wakasimama, wasiwafuatie Israeli tena, wala hawakupigana tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Hivyo, Yoabu akapiga tarumbeta na watu wakaacha kuwafuatia watu wa Israeli, wala hawakupigana zaidi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Hivyo, Yoabu akapiga tarumbeta na watu wakaacha kuwafuatia watu wa Israeli, wala hawakupigana zaidi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Hivyo, Yoabu akapiga tarumbeta na watu wakaacha kuwafuatia watu wa Israeli, wala hawakupigana zaidi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Basi Yoabu akapiga tarumbeta, nao watu wote wakasimama, hawakuwafuata Waisraeli tena, wala hawakuwapiga tena. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Basi Yoabu akapiga tarumbeta, nao watu wote wakasimama, hawakuwafuata Israeli tena, wala hawakuwapiga tena. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI28 Basi Yoabu akapiga tarumbeta, na watu wote wakasimama, wasiwafuatie Israeli tena, wala hawakupigana tena. Tazama sura |