Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Samueli 2:19 - Swahili Revised Union Version

19 Naye Asaheli akamfuatia Abneri; na katika kwenda kwake hakugeuka kwenda mkono wa kulia wala mkono wa kushoto katika kumfuatia Abneri.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Asaheli alimfuatia Abneri moja kwa moja bila kugeuka kulia wala kushoto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Asaheli alimfuatia Abneri moja kwa moja bila kugeuka kulia wala kushoto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Asaheli alimfuatia Abneri moja kwa moja bila kugeuka kulia wala kushoto.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Asaheli akamfukuza Abneri, pasipo kugeuka kulia wala kushoto wakati alimfuata.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Asaheli akamfukuza Abneri, pasipo kugeuka kulia wala kushoto wakati akimfuata.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

19 Naye Asaheli akamfuatia Abneri; na katika kwenda kwake hakugeuka kwenda mkono wa kulia wala mkono wa kushoto katika kumfuatia Abneri.

Tazama sura Nakili




2 Samueli 2:19
9 Marejeleo ya Msalaba  

Na wana watatu wa Seruya walikuwako huko, Yoabu, na Abishai, na Asaheli; na Asaheli alikuwa mwepesi wa miguu kama kulungu.


Basi Abneri akatazama nyuma yake, akasema, Ni wewe, Asaheli? Akajibu, Ni mimi.


Basi Abneri akamwambia, Geuka mkono wa kulia au mkono wa kushoto, ukamshike mmoja wa vijana, ukazitwae silaha zake. Lakini Asaheli hakukubali kugeuka na kuacha kumfuata.


Basi Abneri alipokuwa amerudi Hebroni, Yoabu akamchukua kando hadi katikati ya lango, ili aseme naye kwa faragha; akampiga mkuki wa tumbo huko, hadi akafa; kwa ajili ya damu ya Asaheli, ndugu yake.


Basi Yoabu, na Abishai nduguye, walimwua Abneri, kwa sababu yeye alimwua ndugu yao Asaheli katika vita huko Gibeoni.


Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA, akaenda katika njia yote ya Daudi baba yake, wala hakugeuka upande wa kulia wala wa kushoto.


Usigeuke kwa kulia wala kwa kushoto; Ondoa mguu wako maovuni.


Uwe hodari tu na ushujaa mwingi, uangalie kutenda kulingana na sheria yote aliyokuamuru Musa mtumishi wangu; usiiache, kwenda mkono wa kulia, au wa kushoto, upate kufanikiwa sana kila uendako.


Basi, iweni thabiti sana kuyashika yote yaliyoandikwa katika kitabu cha Torati ya Musa, na kuyatenda, msiyaache kwa kugeukia upande wa kulia wala upande wa kushoto.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo