2 Samueli 18:30 - Swahili Revised Union Version30 Naye mfalme akasema, Geuka, usimame hapa. Akageuka, akasimama. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Mfalme akasema, “Kaa kando, na usimame hapo.” Basi, Ahimaasi akaenda kando na kusimama kimya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Mfalme akasema, “Kaa kando, na usimame hapo.” Basi, Ahimaasi akaenda kando na kusimama kimya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Mfalme akasema, “Kaa kando, na usimame hapo.” Basi, Ahimaasi akaenda kando na kusimama kimya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Mfalme akasema, “Simama kando na usubiri hapa.” Basi akasogea kando na kusimama hapo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Mfalme akasema, “Simama kando na usubiri hapa.” Basi akasogea kando na kusimama hapo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI30 Naye mfalme akasema, Geuka, usimame hapa. Akageuka, akasimama. Tazama sura |