2 Samueli 18:13 - Swahili Revised Union Version13 Na tena, kama ningaliitendea roho yake kwa hila; (wala hapana neno lolote liwezalo kufichwa mbele ya mfalme); ndipo wewe mwenyewe ungalijitenga. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Kwa upande mwingine, kama ningemtendea kwa hila (na hakuna lolote linalofichika kwa mfalme) wewe mwenyewe ungeniruka.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Kwa upande mwingine, kama ningemtendea kwa hila (na hakuna lolote linalofichika kwa mfalme) wewe mwenyewe ungeniruka.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Kwa upande mwingine, kama ningemtendea kwa hila (na hakuna lolote linalofichika kwa mfalme) wewe mwenyewe ungeniruka.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Nami kama ningekuwa nimemtendea kwa hila, na hakuna lolote linalofichika kwa mfalme, wewe mwenyewe ungejitenga nami.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Nami kama ningekuwa nimemtendea kwa hila, na hakuna lolote linalofichika kwa mfalme, wewe mwenyewe ungejitenga nami.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Na tena, kama ningaliitendea roho yake kwa hila; (wala hapana neno lolote liwezalo kufichwa mbele ya mfalme); ndipo wewe mwenyewe ungalijitenga. Tazama sura |