2 Samueli 18:10 - Swahili Revised Union Version10 Basi mtu mmoja akaona hayo, akaenda akamwambia Yoabu, akasema, Tazama, mimi nilimwona Absalomu ametundikwa katika mwaloni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mtu fulani aliyeona tukio hilo, akamwambia Yoabu, “Nimemwona Absalomu akininginia kwenye mwaloni.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mtu fulani aliyeona tukio hilo, akamwambia Yoabu, “Nimemwona Absalomu akininginia kwenye mwaloni.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mtu fulani aliyeona tukio hilo, akamwambia Yoabu, “Nimemwona Absalomu akining'inia kwenye mwaloni.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mtu mmoja alipoona hivyo, akamwambia Yoabu, “Nimemwona Absalomu akining’inia kwenye mwaloni.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Mmojawapo wa wale watu alipoona, akamwambia Yoabu, “Nimemwona Absalomu akining’inia kwenye mti wa mwaloni.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Basi mtu mmoja akaona hayo, akaenda akamwambia Yoabu, akasema, Tazama, mimi nilimwona Absalomu ametundikwa katika mwaloni. Tazama sura |
Na kwa bahati Absalomu akakutana na watumishi wa Daudi. Naye Absalomu alikuwa amepanda nyumbu wake, na yule nyumbu akapita chini ya matawi manene ya mwaloni mkubwa, hata kichwa chake kikakwama katika mwaloni huo, akanyakuliwa juu kati ya mbingu na nchi; na yule nyumbu aliyekuwa chini yake akaenda mbele.