2 Samueli 18:1 - Swahili Revised Union Version1 Kisha Daudi akawahesabu watu waliokuwa pamoja naye, akaweka makamanda wa maelfu, na makamanda wa mamia juu yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Daudi aliwahesabu watu waliokuwa pamoja naye, akawagawanya katika vikosi vya maelfu chini ya makamanda wao; na vikosi vya mamia, navyo chini ya makamanda wao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Daudi aliwahesabu watu waliokuwa pamoja naye, akawagawanya katika vikosi vya maelfu chini ya makamanda wao; na vikosi vya mamia, navyo chini ya makamanda wao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Daudi aliwahesabu watu waliokuwa pamoja naye, akawagawanya katika vikosi vya maelfu chini ya makamanda wao; na vikosi vya mamia, navyo chini ya makamanda wao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Daudi akakusanya watu aliokuwa nao, na kuteua juu yao majemadari wa maelfu na majemadari wa mamia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Daudi akakusanya watu aliokuwa nao na kuweka majemadari wa maelfu na majemadari wa mamia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Kisha Daudi akawahesabu watu waliokuwa pamoja naye, akaweka makamanda wa maelfu, na makamanda wa mamia juu yao. Tazama sura |