Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

2 Samueli 17:1 - Swahili Revised Union Version

1 Zaidi ya hayo Ahithofeli akamwambia Absalomu, Niache nichague watu elfu kumi na mbili, nami nitaondoka na kumfuatia Daudi usiku huu;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Zaidi ya Hayo, Ahithofeli alimwambia Absalomu, “Niruhusu nichague watu 12,000, niondoke na kumfuatia Daudi leo usiku.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Zaidi ya Hayo, Ahithofeli alimwambia Absalomu, “Niruhusu nichague watu 12,000, niondoke na kumfuatia Daudi leo usiku.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Zaidi ya Hayo, Ahithofeli alimwambia Absalomu, “Niruhusu nichague watu 12,000, niondoke na kumfuatia Daudi leo usiku.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Ahithofeli akamwambia Absalomu, “Nipe ruhusa niwachague watu elfu kumi na mbili, nao waanze safari usiku huu huu kumfuatia Daudi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Ahithofeli akamwambia Absalomu, “Nipe ruhusa niwachague watu kumi na mbili elfu na waanze safari usiku huu huu kumfuatia Daudi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

1 Zaidi ya hayo Ahithofeli akamwambia Absalomu, Niache nichague watu elfu kumi na mbili, nami nitaondoka na kumfuatia Daudi usiku huu;

Tazama sura Nakili

2 Samueli 17:1
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na ushauri wake Ahithofeli, aliokuwa akiutoa siku zile, ulikuwa kama mtu aulizapo kwa neno la Mungu; ndivyo yalivyokuwa mashauri yote ya Ahithofeli, kwa Daudi, na kwa Absalomu.

nami nitamshambulia wakati atakaokuwa amechoka, na mikono yake imekuwa dhaifu, nami nitamtia hofu; na watu wote walio pamoja naye watakimbia; nami nitampiga mfalme peke yake;

Katika amani nitajilaza na kupata usingizi mara, Maana Wewe, BWANA, peke yako, Ndiwe unijaliaye kukaa salama.

Maana miguu yao huenda mbio maovuni, Nao hufanya haraka ili kumwaga damu.

Maana hawalali isipokuwa wametenda madhara; Huondolewa usingizi, ikiwa hawakumwangusha mtu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo