2 Samueli 15:9 - Swahili Revised Union Version9 Naye mfalme akamwambia, Nenda kwa amani. Basi akaondoka, akaenda Hebroni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Mfalme akamwambia, “Basi, nenda kwa amani.” Absalomu akaondoka kwenda Hebroni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mfalme akamwambia, “Basi, nenda kwa amani.” Absalomu akaondoka kwenda Hebroni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mfalme akamwambia, “Basi, nenda kwa amani.” Absalomu akaondoka kwenda Hebroni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Mfalme akamwambia, “Nenda kwa amani.” Hivyo akaenda Hebroni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Mfalme akamwambia, “Enenda kwa amani.” Hivyo akaenda Hebroni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Naye mfalme akamwambia, Nenda kwa amani. Basi akaondoka, akaenda Hebroni. Tazama sura |