2 Samueli 15:17 - Swahili Revised Union Version17 Mfalme akatoka, na watu wote wakamfuata; wakakaa kidogo katika Beth-merhaki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Mfalme akaondoka pamoja na watu wake wote. Lakini akatua kidogo walipofikia nyumba ya mwisho mjini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Mfalme akaondoka pamoja na watu wake wote. Lakini akatua kidogo walipofikia nyumba ya mwisho mjini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Mfalme akaondoka pamoja na watu wake wote. Lakini akatua kidogo walipofikia nyumba ya mwisho mjini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Hivyo mfalme akaondoka, pamoja na watu wote wakimfuata, wakatua mahali mbali kiasi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Hivyo mfalme akaondoka, pamoja na watu wote wakimfuata, wakatua mahali mbali kiasi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Mfalme akatoka, na watu wote wakamfuata; wakakaa kidogo katika Beth-merhaki. Tazama sura |