2 Samueli 14:5 - Swahili Revised Union Version5 Mfalme akamwuliza, Una nini? Naye akajibu, Hakika ni mjane mimi, niliyefiwa na mume wangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mfalme akamwambia, “Una shida gani?” Yule mwanamke akajibu, “Nasikitika, mimi ni mjane, mume wangu amekufa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mfalme akamwambia, “Una shida gani?” Yule mwanamke akajibu, “Nasikitika, mimi ni mjane, mume wangu amekufa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mfalme akamwambia, “Una shida gani?” Yule mwanamke akajibu, “Nasikitika, mimi ni mjane, mume wangu amekufa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Mfalme akamuuliza, “Una shida gani?” Akamwambia, “Mimi ni mjane, mume wangu amekufa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Mfalme akamuuliza, “Una shida gani?” Akamwambia, “Mimi ni mjane hasa, mume wangu amekufa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Mfalme akamwuliza, Una nini? Naye akajibu, Hakika ni mjane mimi, niliyefiwa na mume wangu. Tazama sura |