Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

2 Samueli 14:31 - Swahili Revised Union Version

31 Ndipo akaondoka Yoabu, akamwendea Absalomu nyumbani kwake, akamwambia, Kwa nini watumishi wako wamelitia moto shamba langu?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Yoabu akaenda nyumbani kwa Absalomu akamwuliza, “Kwa nini watumishi wako wamechoma moto shamba langu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Yoabu akaenda nyumbani kwa Absalomu akamwuliza, “Kwa nini watumishi wako wamechoma moto shamba langu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Yoabu akaenda nyumbani kwa Absalomu akamwuliza, “Kwa nini watumishi wako wamechoma moto shamba langu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Basi Yoabu akaenda nyumbani mwa Absalomu, akamwambia, “Kwa nini watumishi wako wametia moto shamba langu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Basi Yoabu akaenda nyumbani kwa Absalomu, akamwambia, “Kwa nini watumishi wako wametia moto shamba langu?”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

31 Ndipo akaondoka Yoabu, akamwendea Absalomu nyumbani kwake, akamwambia, Kwa nini watumishi wako wamelitia moto shamba langu?

Tazama sura Nakili

2 Samueli 14:31
2 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa hiyo akawaambia watumishi wake, Tazameni, shamba la Yoabu liko karibu na shamba langu, naye ana shayiri huko; nendeni mkalitie moto. Basi watumishi wa Absalomu wakalitia moto lile shamba.

Absalomu akamjibu Yoabu, Angalia, nilituma kwako, nikisema, Njoo kwangu, ili nikutume kwa mfalme kunena, Mbona nimekuja kutoka Geshuri? Ingekuwa heri kwangu kama ningekuwako huko hata sasa; basi sasa na nimtazame uso mfalme; na ukiwapo uovu kwangu, na aniue.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo