2 Samueli 14:23 - Swahili Revised Union Version23 Basi Yoabu akaondoka, akaenda Geshuri, akamleta Absalomu Yerusalemu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Hivyo, Yoabu aliondoka, akaenda Geshuri kumleta Absalomu mjini Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Hivyo, Yoabu aliondoka, akaenda Geshuri kumleta Absalomu mjini Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Hivyo, Yoabu aliondoka, akaenda Geshuri kumleta Absalomu mjini Yerusalemu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Ndipo Yoabu akaenda hadi Geshuri akamrudisha Absalomu Yerusalemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Ndipo Yoabu akaenda hadi Geshuri akamrudisha Absalomu Yerusalemu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Basi Yoabu akaondoka, akaenda Geshuri, akamleta Absalomu Yerusalemu. Tazama sura |