2 Samueli 13:35 - Swahili Revised Union Version35 Ndipo Yonadabu akamwambia mfalme, Tazama, wana wa mfalme wamekuja; kama mimi mtumishi wako nilivyosema, ndivyo ilivyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Yonadabu akamwambia Daudi, “Tazama mfalme, wanao wanakuja kama nilivyokuambia mimi mtumishi wako.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Yonadabu akamwambia Daudi, “Tazama mfalme, wanao wanakuja kama nilivyokuambia mimi mtumishi wako.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Yonadabu akamwambia Daudi, “Tazama mfalme, wanao wanakuja kama nilivyokuambia mimi mtumishi wako.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Yonadabu akamwambia mfalme, “Tazama, wana wa mfalme wako hapa; imekuwa kama vile mtumishi wako alivyosema.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Yonadabu akamwambia mfalme, “Tazama, wana wa mfalme wako hapa; imekuwa kama vile mtumishi wako alivyosema.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI35 Ndipo Yonadabu akamwambia mfalme, Tazama, wana wa mfalme wamekuja; kama mimi mtumishi wako nilivyosema, ndivyo ilivyo. Tazama sura |