2 Samueli 13:19 - Swahili Revised Union Version19 Naye Tamari akatia majivu kichwani mwake, akairarua hiyo kanzu ndefu yake aliyoivaa, akaweka mkono kichwani akaenda zake huku akilia kwa sauti. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Basi, Tamari alijipaka majivu kichwani, akalipasua vazi lake, akaweka mikono yake kichwani, halafu akaondoka huku analia kwa sauti. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Basi, Tamari alijipaka majivu kichwani, akalipasua vazi lake, akaweka mikono yake kichwani, halafu akaondoka huku analia kwa sauti. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Basi, Tamari alijipaka majivu kichwani, akalipasua vazi lake, akaweka mikono yake kichwani, halafu akaondoka huku analia kwa sauti. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Tamari akajitia majivu kichwani mwake na kurarua lile joho alilokuwa amevaa. Akaweka mkono wake kichwani, akaenda zake akilia kwa sauti. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Tamari akajitia majivu kichwani mwake na kurarua lile joho alilokuwa amevaa. Akaweka mkono wake kichwani, akaenda zake akilia kwa sauti. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Naye Tamari akatia majivu kichwani mwake, akairarua hiyo kanzu yake ndefu aliyoivaa, akaweka mkono kichwani akaenda zake huku akilia kwa sauti. Tazama sura |