2 Samueli 13:11 - Swahili Revised Union Version11 Naye alipokwisha kuileta karibu naye, ili ale, Amnoni akamkamata, akamwambia, Njoo ulale nami, dada yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Hapo, alipokuwa anampatia mikate hiyo, Amnoni alimkamata na kumwambia, “Njoo ulale nami.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Hapo, alipokuwa anampatia mikate hiyo, Amnoni alimkamata na kumwambia, “Njoo ulale nami.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Hapo, alipokuwa anampatia mikate hiyo, Amnoni alimkamata na kumwambia, “Njoo ulale nami.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Lakini alipompelekea ili ale, akamkamata kwa nguvu na kumwambia, “Njoo ulale nami, dada yangu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Lakini alipompelekea ili ale, akamkamata kwa nguvu na kumwambia, “Njoo ulale nami, dada yangu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Naye alipokwisha kuileta karibu naye, ili ale, Amnoni akamkamata, akamwambia, Njoo ulale nami, dada yangu. Tazama sura |