2 Samueli 11:26 - Swahili Revised Union Version26 Na yule mke wa Uria alipopata habari ya kuwa Uria mumewe amekufa, akamwombolezea mumewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Bathsheba mke wa Uria aliposikia kwamba mumewe Uria amekufa, alimwombolezea mumewe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Bathsheba mke wa Uria aliposikia kwamba mumewe Uria amekufa, alimwombolezea mumewe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Bathsheba mke wa Uria aliposikia kwamba mumewe Uria amekufa, alimwombolezea mumewe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Mke wa Uria aliposikia kwamba mumewe amekufa, akamwombolezea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Mke wa Uria aliposikia kwamba mumewe amekufa, akamwombolezea. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Na yule mke wa Uria alipopata habari ya kuwa Uria mumewe amekufa, akamwombolezea mumewe. Tazama sura |