2 Samueli 11:22 - Swahili Revised Union Version22 Basi yule mjumbe akaenda, akafika na kumwonesha Daudi yote aliyomtuma Yoabu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Yule mjumbe alikwenda kwa Daudi na kumwambia yote aliyotumwa na Yoabu ayaseme. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Yule mjumbe alikwenda kwa Daudi na kumwambia yote aliyotumwa na Yoabu ayaseme. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Yule mjumbe alikwenda kwa Daudi na kumwambia yote aliyotumwa na Yoabu ayaseme. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Mjumbe akaondoka. Alipowasili akamwambia Daudi kila kitu alichokuwa ametumwa na Yoabu kusema. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Mjumbe akaondoka. Alipowasili akamwambia Daudi kila kitu alichokuwa ametumwa na Yoabu kusema. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Basi yule mjumbe akaenda, akafika na kumwonesha Daudi yote aliyomtuma Yoabu. Tazama sura |