2 Samueli 11:18 - Swahili Revised Union Version18 Ndipo Yoabu akapeleka ujumbe na kumwarifu Daudi habari zote za vita; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Kisha, Yoabu alipeleka habari zote kwa Daudi akimweleza juu ya vita. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Kisha, Yoabu alipeleka habari zote kwa Daudi akimweleza juu ya vita. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Kisha, Yoabu alipeleka habari zote kwa Daudi akimweleza juu ya vita. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Yoabu akampelekea Daudi maelezo yote ya vita. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Yoabu akampelekea Daudi maelezo yote ya vita. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Ndipo Yoabu akapeleka ujumbe na kumwarifu Daudi habari zote za vita; Tazama sura |