2 Samueli 10:7 - Swahili Revised Union Version7 Naye Daudi aliposikia akamtuma Yoabu, na jeshi lote la mashujaa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Naye Daudi aliposikia habari hizo, alimtuma Yoabu kwenda na jeshi lote la mashujaa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Naye Daudi aliposikia habari hizo, alimtuma Yoabu kwenda na jeshi lote la mashujaa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Naye Daudi aliposikia habari hizo, alimtuma Yoabu kwenda na jeshi lote la mashujaa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Daudi aliposikia jambo hili, akamtuma Yoabu na jeshi lote la wapiganaji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Daudi aliposikia jambo hili, akamtuma Yoabu na jeshi lote la wapiganaji. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Naye Daudi aliposikia akamtuma Yoabu, na jeshi lote la mashujaa. Tazama sura |