2 Samueli 10:16 - Swahili Revised Union Version16 Naye Hadadezeri akatuma na kuwaleta Washami waliokuwako ng'ambo ya Mto; nao wakaja Helamu, naye Shobaki, jemadari wa jeshi la Hadadezeri, akawaongoza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Hadadezeri aliagiza Waaramu waliokuwa ngambo ya mto Eufrate waletwe, wapelekwe huko Helamu wakiongozwa na Shobaki kamanda wa jeshi la Hadadezeri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Hadadezeri aliagiza Waaramu waliokuwa ngambo ya mto Eufrate waletwe, wapelekwe huko Helamu wakiongozwa na Shobaki kamanda wa jeshi la Hadadezeri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Hadadezeri aliagiza Waaramu waliokuwa ng'ambo ya mto Eufrate waletwe, wapelekwe huko Helamu wakiongozwa na Shobaki kamanda wa jeshi la Hadadezeri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Hadadezeri akaagiza Waaramu walioletwa kutoka ng’ambo ya Mto, wakaenda Helamu pamoja na Shobaki jemadari wa jeshi la Hadadezeri akiwaongoza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Hadadezeri akaagiza Waaramu walioletwa kutoka ng’ambo ya Mto Frati, wakaenda Helamu pamoja na Shobaki jemadari wa jeshi la Hadadezeri akiwaongoza. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Naye Hadadezeri akatuma na kuwaleta Washami waliokuwako ng'ambo ya Mto; nao wakaja Helamu, naye Shobaki, jemadari wa jeshi la Hadadezeri, akawaongoza. Tazama sura |