2 Samueli 10:13 - Swahili Revised Union Version13 Basi Yoabu na watu waliokuwa pamoja naye wakakaribia kupigana na Washami; nao wakakimbia mbele yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Basi, Yoabu na watu wake walisonga mbele kwenda kupigana na Waaramu, nao Waaramu walikimbia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Basi, Yoabu na watu wake walisonga mbele kwenda kupigana na Waaramu, nao Waaramu walikimbia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Basi, Yoabu na watu wake walisonga mbele kwenda kupigana na Waaramu, nao Waaramu walikimbia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Basi Yoabu na vikosi vyake wakasonga mbele kupigana na Waaramu, nao Waaramu wakakimbia mbele yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Basi Yoabu na vikosi vyake wakasonga mbele kupigana na Waaramu, nao Waaramu wakakimbia mbele yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Basi Yoabu na watu waliokuwa pamoja naye wakakaribia kupigana na Washami; nao wakakimbia mbele yake. Tazama sura |