2 Samueli 10:1 - Swahili Revised Union Version1 Ikawa baadaye, mfalme wa Waamoni akafa, mwanawe Hanuni, akawa mfalme, badala yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Baada ya hayo mfalme Nahashi wa Waamori akafa, na mwanawe aliyeitwa Hanuni akawa mfalme badala ya baba yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Baada ya hayo mfalme Nahashi wa Waamori akafa, na mwanawe aliyeitwa Hanuni akawa mfalme badala ya baba yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Baada ya hayo mfalme Nahashi wa Waamori akafa, na mwanawe aliyeitwa Hanuni akawa mfalme badala ya baba yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Baada ya muda, mfalme wa Waamoni akafa, naye Hanuni mwanawe akawa mfalme baada yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Baada ya muda, mfalme wa Waamoni akafa, naye Hanuni mwanawe akaingia mahali pake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Ikawa baadaye, mfalme wa Waamoni akafa, mwanawe Hanuni, akawa mfalme, badala yake. Tazama sura |