2 Samueli 1:5 - Swahili Revised Union Version5 Daudi akamwambia yule kijana aliyempa habari, Umejuaje ya kuwa Sauli na Yonathani mwanawe wamekufa? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Daudi akamwuliza yule kijana, “Unajuaje kuwa Shauli na Yonathani mwanawe wamekufa?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Daudi akamwuliza yule kijana, “Unajuaje kuwa Shauli na Yonathani mwanawe wamekufa?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Daudi akamwuliza yule kijana, “Unajuaje kuwa Shauli na Yonathani mwanawe wamekufa?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Ndipo Daudi akamwambia huyo kijana aliyemletea taarifa, “Je, umefahamu vipi kwamba Sauli na Yonathani mwanawe wamekufa?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Ndipo Daudi akamwambia huyo kijana aliyemletea taarifa, “Je, umefahamuje kwamba Sauli na Yonathani mwanawe wamekufa?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Daudi akamwambia yule kijana aliyempa habari, Umejuaje ya kuwa Sauli na Yonathani mwanawe wamekufa? Tazama sura |