2 Samueli 1:3 - Swahili Revised Union Version3 Daudi akamwambia, Umetoka wapi? Akamwambia, Nimeokoka katika kambi ya Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Daudi akamwambia, “Unatoka wapi?” Naye akamwambia, “Nimetoroka kutoka kambi ya Waisraeli.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Daudi akamwambia, “Unatoka wapi?” Naye akamwambia, “Nimetoroka kutoka kambi ya Waisraeli.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Daudi akamwambia, “Unatoka wapi?” Naye akamwambia, “Nimetoroka kutoka kambi ya Waisraeli.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Daudi akamuuliza, “Wewe umetoka wapi?” Akamjibu, “Nimetoroka kutoka kambi ya Waisraeli.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Daudi akamuuliza, “Wewe umetoka wapi?” Akamjibu, “Nimetoroka kutoka kambi ya Waisraeli.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Daudi akamwambia, Umetoka wapi? Akamwambia, Nimeokoka katika kambi ya Israeli. Tazama sura |