2 Samueli 1:25 - Swahili Revised Union Version25 Jinsi mashujaa walivyoanguka Katikati ya vita! Ee Yonathani, wewe umeuawa Juu ya mahali pako palipoinuka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 “Jinsi gani mashujaa walivyoanguka! Wamekufa wakiwa katika mapambano. Yonathani analala, akiwa ameuawa milimani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 “Jinsi gani mashujaa walivyoanguka! Wamekufa wakiwa katika mapambano. Yonathani analala, akiwa ameuawa milimani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 “Jinsi gani mashujaa walivyoanguka! Wamekufa wakiwa katika mapambano. “Yonathani analala, akiwa ameuawa milimani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 “Tazama jinsi mashujaa walivyoanguka vitani! Yonathani ameuawa mahali pako palipoinuka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 “Tazama jinsi mashujaa walivyoanguka vitani! Yonathani ameuawa mahali pako palipoinuka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Jinsi mashujaa walivyoanguka Katikati ya vita! Ee Yonathani, wewe umeuawa Juu ya mahali pako palipoinuka. Tazama sura |