2 Samueli 1:12 - Swahili Revised Union Version12 wakaomboleza, wakalia, wakafunga hadi jioni, kwa ajili ya Sauli, na kwa ajili ya Yonathani mwanawe, na kwa ajili ya watu wa BWANA na kwa ajili ya nyumba ya Israeli; kwa sababu wameanguka kwa upanga. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Wakaomboleza, wakalia na kufunga mpaka jioni kwa ajili ya Shauli, Yonathani mwanawe, na nchi ya Waisraeli, watu wa Mwenyezi-Mungu, kwa kuwa wengi wao waliuawa vitani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Wakaomboleza, wakalia na kufunga mpaka jioni kwa ajili ya Shauli, Yonathani mwanawe, na nchi ya Waisraeli, watu wa Mwenyezi-Mungu, kwa kuwa wengi wao waliuawa vitani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Wakaomboleza, wakalia na kufunga mpaka jioni kwa ajili ya Shauli, Yonathani mwanawe, na nchi ya Waisraeli, watu wa Mwenyezi-Mungu, kwa kuwa wengi wao waliuawa vitani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Wakaomboleza, wakalia pia na kufunga hadi jioni kwa ajili ya Sauli na Yonathani mwanawe, kwa ajili ya jeshi la Mwenyezi Mungu na nyumba ya Israeli, kwa sababu wameanguka kwa upanga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Wakaomboleza, wakalia pia na kufunga mpaka jioni kwa ajili ya Sauli na Yonathani mwanawe, kwa ajili ya jeshi la bwana na nyumba ya Israeli, kwa sababu wameanguka kwa upanga. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 wakaomboleza, wakalia, wakafunga hadi jioni, kwa ajili ya Sauli, na kwa ajili ya Yonathani mwanawe, na kwa ajili ya watu wa BWANA na kwa ajili ya nyumba ya Israeli; kwa sababu wameanguka kwa upanga. Tazama sura |