1 Yohana 4:8 - Swahili Revised Union Version8 Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa maana Mungu ni upendo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Mtu asiye na upendo hamjui Mungu, maana Mungu ni upendo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Mtu asiye na upendo hamjui Mungu, maana Mungu ni upendo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Mtu asiye na upendo hamjui Mungu, maana Mungu ni upendo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Yeye asiyependa hamjui Mungu, kwa sababu Mungu ni pendo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Yeye asiyependa hamjui Mungu, kwa sababu Mwenyezi Mungu ni pendo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa maana Mungu ni upendo. Tazama sura |