1 Yohana 2:3 - Swahili Revised Union Version3 Na katika hili tunajua ya kuwa tumemjua yeye, ikiwa tunashika amri zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Tukizitii amri za Mungu, basi, tunaweza kuwa na hakika kwamba tunamjua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Tukizitii amri za Mungu, basi, tunaweza kuwa na hakika kwamba tunamjua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Tukizitii amri za Mungu, basi, tunaweza kuwa na hakika kwamba tunamjua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Basi katika hili twajua ya kuwa tumemjua, tukizishika amri zake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Basi katika hili twajua ya kuwa tumemjua, tukizishika amri zake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Na katika hili tunajua ya kuwa tumemjua yeye, ikiwa tunashika amri zake. Tazama sura |