1 Yohana 2:20 - Swahili Revised Union Version20 Nanyi mmepakwa mafuta na Yeye aliye Mtakatifu nanyi mnajua nyote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Nyinyi, lakini, mlipata kumiminiwa Roho Mtakatifu na Kristo, na hivyo mnaujua ukweli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Nyinyi, lakini, mlipata kumiminiwa Roho Mtakatifu na Kristo, na hivyo mnaujua ukweli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Nyinyi, lakini, mlipata kumiminiwa Roho Mtakatifu na Kristo, na hivyo mnaujua ukweli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Lakini ninyi mmepakwa mafuta na yeye Aliye Mtakatifu, nanyi nyote mnaijua kweli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Lakini ninyi mmetiwa mafuta na yeye Aliye Mtakatifu, nanyi nyote mnaijua kweli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Nanyi mmepakwa mafuta na Yeye aliye Mtakatifu nanyi mnajua nyote. Tazama sura |