Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Wakorintho 7:8 - Swahili Revised Union Version

8 Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Basi, wale ambao hawajaoa na wale walio wajane nawaambia kwamba ni vema kuendelea kuwa kama mimi nilivyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Basi, wale ambao hawajaoa na wale walio wajane nawaambia kwamba ni vema kuendelea kuwa kama mimi nilivyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Basi, wale ambao hawajaoa na wale walio wajane nawaambia kwamba ni vema kuendelea kuwa kama mimi nilivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Kwa wale wasiooa na kwa wajane, nasema hivi, ingekuwa vizuri wasioe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Kwa wale wasiooa na kwa wajane, nasema hivi, ingekuwa vizuri wasioe.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 7:8
6 Marejeleo ya Msalaba  

Basi kuhusu mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.

Lakini nataka msiwe na masumbufu. Yeye asiyeoa hujishughulisha na mambo ya Bwana, ampendezeje Bwana;

Ila nipendalo ni kwamba watu wote wawe kama mimi nilivyo; lakini kila mtu ana karama yake mwenyewe itokayo kwa Mungu, huyu hivi, na huyu hivi.

Hatuna uwezo kuchukua pamoja nasi mke aliye ndugu, kama wao mitume wengine, na ndugu wa Bwana, na Kefa?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo