1 Wakorintho 6:8 - Swahili Revised Union Version8 Bali kinyume cha hayo ninyi wenyewe mwadhulumu watu na kunyang'anya mali zao; naam, hata za ndugu zenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Lakini, badala yake, nyinyi ndio mnaodhulumu na kunyanganya; tena, hayo mnawafanyia ndugu zenu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Lakini, badala yake, nyinyi ndio mnaodhulumu na kunyanganya; tena, hayo mnawafanyia ndugu zenu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Lakini, badala yake, nyinyi ndio mnaodhulumu na kunyang'anya; tena, hayo mnawafanyia ndugu zenu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Badala yake, ninyi wenyewe mwadanganya na kutenda mabaya, tena mwawatendea ndugu zenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Badala yake, ninyi wenyewe mwadanganya na kutenda mabaya, tena mwawatendea ndugu zenu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Bali kinyume cha hayo ninyi wenyewe mwadhulumu watu na kunyang'anya mali zao; naam, hata za ndugu zenu. Tazama sura |