1 Wakorintho 6:16 - Swahili Revised Union Version16 Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Maana, kama mjuavyo, anayeungana na kahaba huwa mwili mmoja naye – kama ilivyoandikwa: “Nao wawili watakuwa mwili mmoja.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Maana, kama mjuavyo, anayeungana na kahaba huwa mwili mmoja naye – kama ilivyoandikwa: “Nao wawili watakuwa mwili mmoja.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Maana, kama mjuavyo, anayeungana na kahaba huwa mwili mmoja naye — kama ilivyoandikwa: “Nao wawili watakuwa mwili mmoja.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Hamjui kwamba aliyeungwa na kahaba anakuwa mwili mmoja naye? Kwa kuwa imenenwa, “Hao wawili watakuwa mwili mmoja.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Hamjui kwamba aliyeungwa na kahaba anakuwa mwili mmoja naye? Kwa kuwa imenenwa, “Hao wawili watakuwa mwili mmoja.” Tazama sura |