1 Wakorintho 4:14 - Swahili Revised Union Version14 Siyaandiki hayo ili kuwatahayarisha; bali kuwaonya kama watoto niwapendao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Siandiki mambo haya kwa ajili ya kuwaaibisha nyinyi, bali kwa ajili ya kuwafundisheni watoto wangu wapenzi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Siandiki mambo haya kwa ajili ya kuwaaibisha nyinyi, bali kwa ajili ya kuwafundisheni watoto wangu wapenzi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Siandiki mambo haya kwa ajili ya kuwaaibisha nyinyi, bali kwa ajili ya kuwafundisheni watoto wangu wapenzi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Siwaandikii mambo haya ili kuwaaibisha, bali ili kuwaonya, kama wanangu wapendwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Siwaandikii mambo haya ili kuwaaibisha, bali ili kuwaonya, kama wanangu wapendwa. Tazama sura |