1 Wakorintho 4:11 - Swahili Revised Union Version11 Hata saa hii ya sasa, tuna njaa na kiu, tuko uchi, twapigwa ngumi, tena hatuna makao; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Mpaka dakika hii, sisi tuna njaa na kiu, hatuna nguo, twapigwa makofi, hatuna malazi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Mpaka dakika hii, sisi tuna njaa na kiu, hatuna nguo, twapigwa makofi, hatuna malazi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Mpaka dakika hii, sisi tuna njaa na kiu, hatuna nguo, twapigwa makofi, hatuna malazi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Hadi saa hii tuna njaa na kiu, tu uchi, tumepigwa na hatuna makao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Mpaka saa hii tuna njaa na kiu, tu uchi, tumepigwa na hatuna makao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Hata saa hii ya sasa, tuna njaa na kiu, tuko uchi, twapigwa ngumi, tena hatuna makao; Tazama sura |