1 Wakorintho 3:7 - Swahili Revised Union Version7 Hivyo, apandaye si kitu, wala atiaye maji, bali Mungu akuzaye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Wa maana si yule aliyepanda mbegu, au yule aliyemwagilia maji; wa maana ni Mungu aliyeiwezesha mbegu kuota. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Wa maana si yule aliyepanda mbegu, au yule aliyemwagilia maji; wa maana ni Mungu aliyeiwezesha mbegu kuota. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Wa maana si yule aliyepanda mbegu, au yule aliyemwagilia maji; wa maana ni Mungu aliyeiwezesha mbegu kuota. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Hivyo mwenye kupanda na mwenye kutia maji si kitu, bali Mungu peke yake ambaye huifanya ikue. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Hivyo mwenye kupanda na mwenye kutia maji si kitu, bali Mungu peke yake ambaye huifanya ikue. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Hivyo, apandaye si kitu, wala atiaye maji, bali Mungu akuzaye. Tazama sura |