Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Wakorintho 3:22 - Swahili Revised Union Version

22 kwamba ni Paulo, au Apolo, au Kefa; au dunia, au uzima, au mauti; au vile vilivyopo sasa, au vile vitakavyokuwapo; vyote ni vyenu;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Paulo, Apolo na Kefa, ulimwengu, maisha na kifo; mambo ya sasa na ya baadaye, yote ni yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Paulo, Apolo na Kefa, ulimwengu, maisha na kifo; mambo ya sasa na ya baadaye, yote ni yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Paulo, Apolo na Kefa, ulimwengu, maisha na kifo; mambo ya sasa na ya baadaye, yote ni yenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 iwe ni Paulo au Apolo au Kefa, au dunia au uzima au mauti, au wakati uliopo au ujao: haya yote ni yenu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 ikiwa ni Paulo au Apolo au Kefa, au dunia au uzima au mauti, au wakati uliopo au wakati ujao, haya yote ni yenu

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

22 kwamba ni Paulo, au Apolo, au Kefa; au dunia, au uzima, au mauti; au vile vilivyopo sasa, au vile vitakavyokuwapo; vyote ni vyenu;

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 3:22
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akampeleka kwa Yesu. Naye Yesu akamtazama, akasema, Wewe u Simoni, mwana wa Yohana; nawe utaitwa Kefa (tafsiri yake Petro, au Jiwe).

Basi, maana yangu ni hii, ya kwamba kila mtu wa kwenu kusema, Mimi ni wa Paulo, na, Mimi ni wa Apolo, na, Mimi ni wa Kefa, na, Mimi ni wa Kristo.

Kwa maana hatujihubiri wenyewe, bali Kristo Yesu ya kuwa ni Bwana; na sisi wenyewe kuwa tu watumishi wenu kwa ajili ya Yesu.

Kwa maana kwangu mimi kuishi ni Kristo, na kufa ni faida.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo