Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Wakorintho 3:2 - Swahili Revised Union Version

2 Niliwanywesha maziwa sikuwalisha chakula; kwa kuwa mlikuwa hamjakiweza. Naam, hata sasa hamkiwezi,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Ilinibidi kuwalisheni kwa maziwa, na si kwa chakula kigumu, kwani hamkuwa tayari kukipokea. Hata sasa hamko tayari.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Ilinibidi kuwalisheni kwa maziwa, na si kwa chakula kigumu, kwani hamkuwa tayari kukipokea. Hata sasa hamko tayari.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Ilinibidi kuwalisheni kwa maziwa, na si kwa chakula kigumu, kwani hamkuwa tayari kukipokea. Hata sasa hamko tayari.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Niliwanywesha maziwa, wala si chakula kigumu, kwa kuwa hamkuwa tayari kwa hicho chakula. Naam, hata sasa hamko tayari.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Naliwanywesha maziwa, wala si chakula kigumu, kwa kuwa hamkuwa tayari kwa hicho chakula. Naam, hata sasa hamko tayari.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

2 Niliwanywesha maziwa sikuwalisha chakula; kwa kuwa mlikuwa hamjakiweza. Naam, hata sasa hamkiwezi,

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 3:2
3 Marejeleo ya Msalaba  

Hata bado ningali ninayo mengi ya kuwaambia, lakini hamuwezi kuyastahimili hivi sasa.

Kama watoto wachanga waliozaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili yasiyoghoshiwa, ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo