1 Wakorintho 16:16 - Swahili Revised Union Version16 watiini watu kama hawa, na kila mtu afanyaye kazi pamoja nao, na kujitaabisha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 muufuate uongozi wa watu kama hao, na uongozi wa kila mtu afanyaye kazi na kutumika pamoja nao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 muufuate uongozi wa watu kama hao, na uongozi wa kila mtu afanyaye kazi na kutumika pamoja nao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 muufuate uongozi wa watu kama hao, na uongozi wa kila mtu afanyaye kazi na kutumika pamoja nao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 mjitie katika kuwahudumia watu kama hawa na kila mmoja aingiaye kwenye kazi na kuifanya kwa bidii. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 mjitie katika kuwahudumia watu kama hawa na kila mmoja aingiaye kwenye kazi na kuifanya kwa bidii. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 watiini watu kama hawa, na kila mtu afanyaye kazi pamoja nao, na kujitaabisha. Tazama sura |