1 Wakorintho 12:2 - Swahili Revised Union Version2 Mwajua ya kuwa mlipokuwa watu wa Mataifa, mlichukuliwa kufuata sanamu zisizonena, kama mlivyoongozwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mnajua kwamba, kabla ya kuongoka kwenu, mlitawaliwa na kupotoshwa na sanamu tupu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mnajua kwamba, kabla ya kuongoka kwenu, mlitawaliwa na kupotoshwa na sanamu tupu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mnajua kwamba, kabla ya kuongoka kwenu, mlitawaliwa na kupotoshwa na sanamu tupu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Mnajua kwamba mlipokuwa watu wasiomjua Mungu, kwa njia moja au nyingine mlishawishika na kupotoshwa mkielekezwa kwa sanamu zisizonena. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Mnajua kwamba mlipokuwa watu wasiomjua Mwenyezi Mungu, kwa njia moja au ingine mlishawishika na kupotoshwa mkielekezwa kwa sanamu zisizonena. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Mwajua ya kuwa mlipokuwa watu wa Mataifa, mlichukuliwa kufuata sanamu zisizonena, kama mlivyoongozwa. Tazama sura |