1 Wakorintho 11:13 - Swahili Revised Union Version13 Je! Inapendeza mwanamke amwombe Mungu asipofunika kichwa? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Amueni wenyewe: Je, inafaa mwanamke kumwomba Mungu bila kuvaa kitu kichwani? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Amueni wenyewe: Je, inafaa mwanamke kumwomba Mungu bila kuvaa kitu kichwani? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Amueni wenyewe: Je, inafaa mwanamke kumwomba Mungu bila kuvaa kitu kichwani? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Hukumuni ninyi wenyewe: Je, inafaa kwa mwanamke kumwomba Mungu bila kufunika kichwa chake? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Hukumuni ninyi wenyewe: Je, inafaa kwa mwanamke kumwomba Mungu bila kufunika kichwa chake? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Je! Inapendeza mwanamke amwombe Mungu asipofunika kichwa? Tazama sura |