1 Wakorintho 1:3 - Swahili Revised Union Version3 Neema na iwe kwenu na amani, zitokazo kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Nawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Bwana wetu Yesu Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Nawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Bwana wetu Yesu Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Nawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Bwana wetu Yesu Kristo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Neema na amani zinazotoka kwa Mungu, Baba yetu, na kwa Bwana wetu Isa Al-Masihi ziwe nanyi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Isa Al-Masihi iwe nanyi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Neema na iwe kwenu na amani, zitokazo kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo. Tazama sura |