1 Wakorintho 1:29 - Swahili Revised Union Version29 mwenye mwili awaye yote asije akajisifu mbele za Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Basi, hakuna mtu awezaye kujivunia chochote mbele ya Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Basi, hakuna mtu awezaye kujivunia chochote mbele ya Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Basi, hakuna mtu awezaye kujivunia chochote mbele ya Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 ili mtu yeyote asijisifu mbele zake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 ili mtu yeyote asijisifu mbele zake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 mwenye mwili awaye yote asije akajisifu mbele za Mungu. Tazama sura |