Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Wafalme 9:17 - Swahili Revised Union Version

17 Naye Sulemani akaujenga Gezeri, na Beth-horoni wa chini,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Basi, Solomoni aliujenga upya mji wa Gezeri); hali kadhalika alijenga Beth-horoni ya chini;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Basi, Solomoni aliujenga upya mji wa Gezeri); hali kadhalika alijenga Beth-horoni ya chini;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Basi, Solomoni aliujenga upya mji wa Gezeri); hali kadhalika alijenga Beth-horoni ya chini;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Sulemani akaujenga tena Gezeri.) Akajenga Beth-Horoni ya Chini,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Sulemani akaujenga tena Gezeri.) Akajenga Beth-Horoni ya Chini,

Tazama sura Nakili

1 Wafalme 9:17
5 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA naye akawatapanya mbele ya Israeli, naye Israeli akawaua uuaji ulio mkuu hapo Gibeoni, akawafukuza waikimbilie hiyo njia ya kukwelea kwenda Beth-horoni, na kuwapiga hadi kufikia Azeka, tena hadi kufikia Makeda.

kisha ikateremkia upande wa magharibi hadi kuufikia mpaka wa Wayafleti, hadi mpaka wa Beth-horoni ya chini, hadi kufikia Gezeri; na matokeo yake yalikuwa hapo baharini.

Elteka, Gibethoni, Baalathi;

na Kibisaumu pamoja na mbuga zake za malisho, na Beth-horoni pamoja na mbuza zake za malisho, miji minne.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo