1 Wafalme 9:12 - Swahili Revised Union Version12 Naye Hiramu akatoka Tiro kuitazama hiyo miji Sulemani aliyompa; wala hakupendezwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Lakini Hiramu alipowasili kutoka Tiro na kuiona miji hiyo aliyokuwa amepewa na Solomoni hakupendezwa nayo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Lakini Hiramu alipowasili kutoka Tiro na kuiona miji hiyo aliyokuwa amepewa na Solomoni hakupendezwa nayo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Lakini Hiramu alipowasili kutoka Tiro na kuiona miji hiyo aliyokuwa amepewa na Solomoni hakupendezwa nayo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Lakini Hiramu alipotoka Tiro kwenda kuiona ile miji ambayo Sulemani alikuwa amempa, hakupendezwa nayo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Lakini Hiramu alipotoka Tiro kwenda kuiona ile miji ambayo Sulemani alikuwa amempa, hakupendezwa nayo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Naye Hiramu akatoka Tiro kuitazama hiyo miji Sulemani aliyompa; wala hakupendezwa. Tazama sura |