Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Wafalme 9:10 - Swahili Revised Union Version

10 Ikawa miaka ishirini ilipopita, ambayo katika hiyo Sulemani alizijenga zile nyumba mbili, nyumba ya BWANA na nyumba yake mfalme,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Kisha miaka ishirini ilipokwisha pita, ambayo Solomoni alizijenga zile nyumba mbili: Nyumba ya Mwenyezi-Mungu na ikulu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Kisha miaka ishirini ilipokwisha pita, ambayo Solomoni alizijenga zile nyumba mbili: Nyumba ya Mwenyezi-Mungu na ikulu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Kisha miaka ishirini ilipokwisha pita, ambayo Solomoni alizijenga zile nyumba mbili: nyumba ya Mwenyezi-Mungu na ikulu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Miaka ishirini ilipopita, muda ambao Sulemani alijenga majengo haya mawili, yaani Hekalu la Mwenyezi Mungu na jumba la kifalme,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Miaka ishirini ilipopita, ambayo katika hiyo Sulemani alijenga majengo haya mawili, yaani Hekalu la bwana na jumba la kifalme,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

10 Ikawa miaka ishirini ilipopita, ambayo katika hiyo Sulemani alizijenga zile nyumba mbili, nyumba ya BWANA na nyumba yake mfalme,

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 9:10
9 Marejeleo ya Msalaba  

Huyo Sulemani akafanya ujamaa na Farao, mfalme wa Misri, akamwoa binti yake Farao, akamleta mjini mwa Daudi, hata alipokwisha kuijenga nyumba yake, na nyumba ya BWANA, na ukuta wa kuuzunguka Yerusalemu.


Katika mwaka wa nne nyumba ya BWANA ilitiwa msingi, katika mwezi wa Zivu.


Na katika mwaka wa kumi na mmoja, katika mwezi wa Buli, ndio mwezi wa nane, nyumba ikaisha, mambo yake yote, kulingana na kanuni zote. Basi muda wa miaka saba alikuwa katika kuijenga.


Naye Sulemani alikuwa katika kuijenga nyumba yake mwenyewe miaka kumi na mitatu, akaimaliza nyumba yake yote.


Ikawa Sulemani alipokwisha kuijenga nyumba ya BWANA, na nyumba ya mfalme, na mambo yote yaliyoingia moyoni mwake Sulemani, naye akataka kuyafanya,


(basi Hiramu, mfalme wa Tiro, alikuwa amemletea Sulemani mierezi na miberoshi, na dhahabu, sawasawa na haja zake zote), ndipo mfalme Sulemani akampa Hiramu miji ishirini ya nchi ya Galilaya.


Wakatujibu hivi, wakasema, Sisi tu watumishi wa Mungu wa mbingu na nchi, nasi tunaijenga nyumba iliyojengwa zamani sana, yapata miaka mingi, ambayo mfalme mkuu wa Israeli aliijenga na kuimaliza.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo