1 Wafalme 8:51 - Swahili Revised Union Version51 Kwa kuwa ni watu wako, na urithi wako, uliowatoa katika Misri, toka katikati ya tanuri ya chuma. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema51 maana ni watu wako, na ni mali yako; watu ambao uliwatoa Misri kutoka katika tanuri ya chuma. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND51 maana ni watu wako, na ni mali yako; watu ambao uliwatoa Misri kutoka katika tanuri ya chuma. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza51 maana ni watu wako, na ni mali yako; watu ambao uliwatoa Misri kutoka katika tanuri ya chuma. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu51 kwa maana ni watu wako na urithi wako, uliowatoa Misri, kutoka lile tanuru la kuyeyushia chuma. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu51 kwa maana ni watu wako na urithi wako, uliowatoa Misri, kutoka kwenye lile tanuru la kuyeyushia chuma. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI51 Kwa kuwa ni watu wako, na urithi wako, uliowatoa kutoka Misri, toka katikati ya tanuri ya chuma. Tazama sura |